Lugha: Kiswahili | Kiingereza | Kinorwei


Scripture Mission Redio (SMR) ni sehemu ya Scripture Mission ya Afrika Mashariki (NLM Afrika Mashariki) ilianzishwa tangu 1982, kitengo hiki kinaendesha huduma mbalimbali na huduma nyingine inaendeshwa moja kwa moja na kitengo cha Redio ikisaidiana na mradi wa:

- SIFA FM 107.7
- Nyimbo za Injili
- Mradi wa Hanna
- Ukumbi wa mkutano-Voi
- Shamba la Matunda
- Bwawa la Samaki

Nguvu zetu hasa ni kuhamasisha kwamba kilichopotea hakitaamini juu ya Kristo mpaka kisikie ujumbe kuhusu yeye, kwamba Imani huja kwakusikia ujumbe, na ujumbe unatokana na Neno la Kristo (Rum 10:17).

Karibu kwa nafasi hii ya upendeleo na ufurahi kuwa pamoja nasi, kwa kuwa sisi ni ndugu pamoja Kristo ndani ya kanisa lake.

Ofisi: nlmear.voistation@nlm.no

Hezron Mwasi-Msimamizi Mkuu
Simu: +254 721 460 694

Nyumba ya wageni: smguesthousevoi@gmail.com

Nyumba ya kulala wageni ya Scripture Mission ina nafasi ya kutosha kulaza wageni wengi kwa wakati moja pia ina toa huduma ya chakula.Scripture Mission Voi iko kando ya barabara inayotoka Nairobi kuelekea Mombasa karibu na geti ya kuingia mbuga ya wanyama ya Tsavo mashariki. Ukitoka Nairobi kuelekea pwani, Scripture Mission Voi itakuwa mahali pazuri pa kupumzikia kwa usiku moja, pia unaweza kuona mahali NLM Mission ilianza kufanya kazi huko Kenya miaka ya 1971.

SM Kituo cha mikutano-Voi
Nyumba ya kulala wageni ina jumla ya vitanda 40, ina nafasi za kutosha kwa mikutano, likizo ya familia, semina mbalimbali nk, ni kilomita 3 kutoka Voi mjini, pamoja na kuwa tume pakana na mji huduma na ukimya tunathamini wakati wa semina.

Nyumba ya kulala wageni ya Scripture Mission inafaa kwa mikutano fupi ya uinjilisti na mahali panapofundishwa elimu ya Mission kwa wasafiri.Tumewahi kuwakaribisha watu mbalimbali kama vile wanafunzi wa elimu ya juu kutoka Folk Norway, TeFT Shule ya Biblia na vikundi mbalimbali, km 5 kutoka mbuga maarufu ya Tsavo, nyumba hii ya wageni ina faa sana kwa wale wanaopendelea kuona wanyama.
Fedha zote zinazo patikana kutoka malipo ya nyumba ya wageni zinatumika kwa kazi ya redio, kuishi kwako katika nyumba yetu ya wageni itasaidia mtu kusikia injili, karibu uishi pamoja nasi, uwe moja wetu.

Bei za malazi kwa usiku

WASIO- WAKAZI
Watu wazima self contained : Ksh 1,500
Cottages kwa siku: Ksh 2,500
Cottages kwa mwezi: shilingi 35,000

Chakula ipo, lakini wasiliana na SM Voi upate kujua ratiba na bei.

KWA WATOTO ( CHAKULA PEKE YAKE)
Chini ya mwaka mmoja -10% ya viwango vya watu wazima
Watoto miaka1-5 -25% ya viwango vya watu wazima
Watoto miaka 6 -10 - 50% ya viwango vya watu wazima.
miaka 11 na juu kiwango cha mtu mzima

KWA WAKAZI
Watu wazima self contained : Ksh 1000
Cottages kwa siku: Ksh 2,000
Cottages kwa mwezi: shilingi 30,000

Chakula ipo, lakini wasiliana na SM Voi upate kujua ratiba na bei.

KWA WATOTO ( CHAKULA PEKE YAKE)
Chini ya mwaka mmoja -10% ya viwango vya watu wazima
Watoto miaka1-5 -25% ya viwango vya watu wazima
Watoto miaka 6 -10 - 50% ya viwango vya watu wazima.
miaka 11 na juu kiwango cha mtu mzima                          
Barua pepe: smguesthousevoi@gmail.com

Katika kuongeza mapato yetu ya ndani, tukishirikiana na jamii inayotuzunguka,Scripture Mission inaendesha mradi mdogo wa shamba la matunda (machungwa) wastani wa miti 90, miti ya Moringa 2000, na miche ya matunda 1200, tuna mabwawa matatu ya samaki yenye aina ya Tilapia.

Zaidi ya kuwa na mapato tunayopata, shamba na bwawa la samaki inasaidia huduma yetu kikamilifu na jamii inayotuzunguka kwakuptia elimu ya watalii na uuzaji wa miche na mbegu za smaki.

P.O.Box 100, Voi

Hezron Mwasi - Meneja
Simu: +254 721 460 694
au
Simu:+254 728 864 323
E-mail: nlmear.voistation@nlm.no

tuma barua pepe kwa: smguesthousevoi@gmail.com